slyve Ramon
Member
- Jul 18, 2017
- 63
- 33
Sawa mkuu shukraniNenda maktaba kuu ya taifa posta pale
Makatab kuu Nd ofisi zao kumbe. Maan Mie niliend pale kivukon feri ofiz za utumishi ndan kuna ofis Yao na nikakut wameandik bango Tu kwmb hawapo nimeuliz mule mule nikaambiw wamesafir wote.Nenda maktaba kuu ya taifa posta pale
Kama unajali afya ya akili yako, ninakushauri usiende.Habarini wakuu naomba kuelekezwa sehemu ilipo office inayoshughulika na maswala ya mfumo wa ajiraportal Kwa hapa Dar es salaam maana nilijaribu kuwapigia simu ila sikupata utatuzi nahitaji kwenda direct ,Kwa yeyote anaefahamu walipo naomba kuelekezwa tafadhali
Wew nenda pale maktaba kuu pale kuna chuo cha library mule, na wao wapo muleMakatab kuu Nd ofisi zao kumbe. Maan Mie niliend pale kivukon feri ofiz za utumishi ndan kuna ofis Yao na nikakut wameandik bango Tu kwmb hawapo nimeuliz mule mule nikaambiw wamesafir wote.
Yaani wamesafiri wote wakaacha ofisi bila mtu?Makatab kuu Nd ofisi zao kumbe. Maan Mie niliend pale kivukon feri ofiz za utumishi ndan kuna ofis Yao na nikakut wameandik bango Tu kwmb hawapo nimeuliz mule mule nikaambiw wamesafir wote.