Msaada: Oil nzuri kwa pikipiki

Msaada: Oil nzuri kwa pikipiki

mr. loner

Senior Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
168
Reaction score
229
Wadau heri ya xmass, Namshukuru Allah nakaribia kuumaliza mwaka 2017.

Tafadhalini mnisaidie oil nzuri kwa pikipiki, Last month nilinunua oil ya Total ilikuwa na namba ya total alafu chini yake kuna 3000L. Sasa leo nimenunua tena kampuni hiyo hiyo ila safari hii imekuwa Total 5000L. Nilipomuuliza muuzaji nini tofauti yake akaniambia ya awali inatakiwa niibadilishe baada ya kilomita 3000. alafu hii ya sasa hivi natakiwa nitembee kilomita 5000 ndio niibadilishe. Sasa mwenye uzoefu na haya mail anisaidie.

Na pia natakiwa nitembee kilomita ngapi ndio nichange oil?
 
Kubadili oil inategemeana na route zako. Olyx ni nzuri zaidi ile ya lita moja.
 
Unatumia pikipiki na upo huku?
Maajabu huku wote tuna magari ya maana
 
pikipiki kilometer 5000 duu iyo kali
Jamaa wanaangalia kwenye nembo ya total ikiwa kuna alama ya 5000L basi unatakiwa utembee kilometer 5000, kama kuna 3000L wao wanaassume ni kilometer 3000. Mwenyewe mpaka nikaogopa
 
Back
Top Bottom