Mambo vipi THANKPAD mzima kabisa kwa ujumla??Ok nadhani kama ulivyosema hapo juu kwamba ni vigumu sana kuweza kubadilisha ni kweli vigumu sana ila zaidi nadhani ukifatilia forum ya joomla kuna details nyingi sana ambazo utaweza kusolve problem yako....Pia mimi kwa kweli hicho kitu sikiwezi kufanya maana ni njia ndefu sana ila zaidi kama unania ya kubadilisha naweza nikakupa contact za mtu yeye yupo USA mweleze tatizo lako na ataweza kukutatulia zaidi kama unataka maelezo ni PM mimi nitakusaidia zaidi
Pamoja