Hivi naweza,soma mtaani af nikaenda kufanya mtihani wa kidato cha sita kwa cbg? Mana mi naona km inakuwa vgumu hasa kwenye ishu ya practicals,kweli nikafanya na kufahuru vzuri? Na inatakiwa nipate tuition ya aina gan kulifanikisha zoeli hilo? Wazoez naomben mchango