bandubandu
Senior Member
- Dec 19, 2010
- 102
- 28
Habari wakuu,mimi na mke wanug tupo kwenye ndoa kwa takribani miezi saba sasa.Tunauhitaji wa kupata mtoto lakini kwa bahati mbaya Kuna jambo ambalo limekuwa linatutatiza kidogo.
Mzunguko wa hedhi wa mke wangu umekuwa ukibadilika badilika hivyo kutuwia vigumu kujua exactly ovulation inatokea wakati gani, kwa mfano mwezi wa 3 alienda mzunguko siku 35,mwezi wa 4 alienda siku 34 na mwezi huu wa tano ameenda siku 32.
Sasa kwa hesabu za mwezi huu tunahisi ovulation inaweza kuwa kuanzia siku ya 15 na 16 na ambayo huenda ikawa ni kuanzia kesho but we're not sure about this, maana alianza mzunguko tarehe 22/05/2014 na kukoma tarehe 24/5/2014.
Wakuu na madaktari naomba ushauri wa haraka ili akili yangu iweze kaa sawa. Msaada wenu ni muhimu sana wandugu.