Msaada - Ovulation timing

bandubandu

Senior Member
Joined
Dec 19, 2010
Posts
102
Reaction score
28
Habari wakuu,mimi na mke wanug tupo kwenye ndoa kwa takribani miezi saba sasa.Tunauhitaji wa kupata mtoto lakini kwa bahati mbaya Kuna jambo ambalo limekuwa linatutatiza kidogo.

Mzunguko wa hedhi wa mke wangu umekuwa ukibadilika badilika hivyo kutuwia vigumu kujua exactly ovulation inatokea wakati gani, kwa mfano mwezi wa 3 alienda mzunguko siku 35,mwezi wa 4 alienda siku 34 na mwezi huu wa tano ameenda siku 32.

Sasa kwa hesabu za mwezi huu tunahisi ovulation inaweza kuwa kuanzia siku ya 15 na 16 na ambayo huenda ikawa ni kuanzia kesho but we're not sure about this, maana alianza mzunguko tarehe 22/05/2014 na kukoma tarehe 24/5/2014.

Wakuu na madaktari naomba ushauri wa haraka ili akili yangu iweze kaa sawa. Msaada wenu ni muhimu sana wandugu.
 
Msaada wenu ni muhimu wakuu,wapi mzizi mkavu na wengine.
 
Kwa.uelewa.wangu,ingawa.mm.si daktari,ovulation.kwa.kawaida huanza siku ya kumi.na.moja mpk 17.ndio.possibility za kupata.ujauzito.kama.alizanza 22/5 basi ovulation possibility ni kuanzia tarehe 01/6 mpk 07/6..all.the.best!
 
Issh hv ni vitu vya kuhangaika. Kwa taarifa yako na huyo mtoto humpati n'goo. Mambo mengine mnafanya makubwa kupitiliza. Wewe kutana na mke wako in regular basis . Unless unataka kuchagua jinsia ya mtoto.


The king.
 
Kwa.uelewa.wangu,ingawa.mm.si daktari,ovulation.kwa.kawaida huanza siku ya kumi.na.moja mpk 17.ndio.possibility za kupata.ujauzito.kama.alizanza 22/5 basi ovulation possibility ni kuanzia tarehe 01/6 mpk 07/6..all.the.best!

Asante mkuu kwa maelezo yako mazuri,ngoja nilifanyie kazi.
 
Mkuu mgegede siku zote! Kama ni wa kushika mimba atashika hapo!

Miaka saba sitaki kuamini kama haujawahi kuipata hiyo siku yake ya kushika mimba unless muwe hamkukubaliana kushika mimba!

Kama hauna mtoto hata mmoja miaka saba hiyo, nendeni hospitali kwa ajili ya vipimo!
 
Akimaliza period, mwache kama siku 5 au 6, afu anza kupiga deile. Mtapatamo tu. Ishu ni kama mnataka jinsia specific hapo kuna timming zake.
 
Anaweza pia kupima kwa kuangalia ute wa kwa bibi.
 
mkuu usome vizyr post ya mtu sio miaka 7 ni miezi 7...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…