Habari wana JF,
Naomba anayejua aniambie ntakapo pata viatu vizuri vya ngozi (sendozi/makubazi) vya kike na kiume kwaajili ya kuuza, kuna mtu ananiambia Arusha ni bei rahisi na kuna viatu vizuri zaidi ya Kenya ni kweli? au kama kuna sehemu nyingine pia ntashukuru.
Pia eti kati ya Nambanga (Msasani), Kinondoni na Sinza wapi kuna uwezekano wa kupata wateja wa hiyo biashara kwa wingi?
Asanteni sana, All the best katika mishe zenu.