Msaada pa kupata viatu kwa bei nzuri.

preciouse

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
46
Reaction score
12
Habari wana JF,

Naomba anayejua aniambie ntakapo pata viatu vizuri vya ngozi (sendozi/makubazi) vya kike na kiume kwaajili ya kuuza, kuna mtu ananiambia Arusha ni bei rahisi na kuna viatu vizuri zaidi ya Kenya ni kweli? au kama kuna sehemu nyingine pia ntashukuru.

Pia eti kati ya Nambanga (Msasani), Kinondoni na Sinza wapi kuna uwezekano wa kupata wateja wa hiyo biashara kwa wingi?

Asanteni sana, All the best katika mishe zenu.
 

kuna jamaa amefungua biashara ya kutengeneza viatu vya aina hiyo kimara mwisho njia inayoelekea bonyokwa opposite na mwakalinga building...jaribu kucheki hapo
 
try to call this boy try to call this boy (0715 805600) ana hayo unayoyaita makurubasi mazuri sana. yanauzika
 
Ngoja wafabiashara wenye zoefu waje, mi mpita njia tu katika safu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…