Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda lina kipaji cha kucheza..nw linajipa raha sasa..tulia tu[emoji2960]
[emoji23][emoji23]..sawa sawa Boss.nitalifanyia kaziWewe jamaa ni kama mimi kuna muda jicho linaweza likacheza hadi nahisi litaanguka nini ? [emoji23].
Walimwengu wakaniambia likicheza nifanye maamuzi ya haraka popote nilipo eti ni machale [emoji23][emoji23]
Sasa rafiki labda na wewe ujaribu hii mbinu ya walimwengu wenyewe wanasema ni mwili unakupa tahadhari juu ya jambo litakalotokea. Hao ni walimwengu japo madokta watakuambia ni ishu ua mzunguko wa damu au tishu za usoni.
😂😂😂 Aiisee kazi ipoHuenda lina kipaji cha kucheza..nw linajipa raha sasa..tulia tu🤭
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiisee kazi ipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro mpk ninapoandika msg hii nina mwezi na nusu jicho la kulia chini linacheza Balaa, lakini ya walimwengu sijaona ht moja, Kuna mkuu hapo juu kasema ni tissue namini hivoo tu, yaani ilifikia niende Hospital maana nilihis sasa hiki nini tena.Wakuu habarini,
Ni imani yangu wazima.
Ok..wakuu kuna hali nimeiona tangu juzi inanisumbua kidogo sijajua tatizo ni nini,May be linaweza kuwa jambo la kawaida....Ila kujua/kufahamu ni muhimu zaidi.
Wakuu samahani tangu juzi kama nilivyoandika hapo..paji langu la uso linacheza/shake nikimaanisha katikati ya macho kwa juu.
Tatizo ni nini? Au ni hali ya kawaida?
NAWASILISHA.
Daah pole Mkuu...Bro mpk ninapoandika msg hii nina mwezi na nusu jicho la kulia chini linacheza Balaa,lakini ya walimwengu sijaona ht moja,Kuna mkuu hapo juu kasema ni tissue namini hivoo tu ,yaani ilifikia niende Hospital maana nilihis sasa hiki nini tena.
Nilikua nakutafutia nafasi ya cancelling ila nimeghairi🤣Huenda lina kipaji cha kucheza..nw linajipa raha sasa..tulia tu🤭