Umemaliza kiongozi ngoja nifanye hima nianze taratibu.Mimi cheti changu cha kuzaliwa na NIDA zinatofautiana sehemu za kuzaliwa ila nilipata passport yangu fresh kabisa. Ukienda kufuatilia passport watatumia taarifa za kwenye cheti cha kuzaliwa NIDA utapeleka namba tu au nakala ya kitambulisho ila taarifa watakazotumia ni za kwenye cheti cha kuzaliwa