Asante kwa muongozo wako, nikianza ni hiyo namba 3, sijaweka window mpya muda mrefu sana.Sizani kama nimekuelewa vizuri?
1.Wireless utakuwa umeizima kwenye laptop yako.tafuta sehemu ya kuruhusu wireless itumike kwenye hiyo laptop yako.....
device manager>>network adaptors.Asante kwa muongozo wako...nikianza ni hiyo namba 3,, sijaweka window mpya muda mrefu sana
labda hapo kwenye namba 2 inaweza kuwa ndipo kwenyewe,,,,kama hutojali waweza kunielekeza nini cha kufanya ili ku-apdate hiyo driver ya wireless
Mimi sija install window mpya ila imetokea ghafla tu nilipomaliza kazi zangu nakaizima vzr then kesho yake ikawa haifanyi tena kaziYaani kama ni internet na Bluetooth hazifanyi kazi baada ya ku install window mpya basi moja kwa moja nenda device manager kaupdate wireless & network adaptors zote kikamilifu tatizo litakia solved