Msaada PC haitaki ku print kabisa

Msaada PC haitaki ku print kabisa

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
994
Habari ndugu zangu, kuna desktop niniatumia tatizo haitaki ku print nimebadili windows na os hadi linux, nimeweka kila driver ila inagoma ku print printa yoyote ile.

Printer mpaka inatambuliwa na pc ila ukisend job haitaki

Naamini mmenielewa ndugu. Kwa ambaye alishawahi kukutana na changamoto kama hiyo au anayefaham cha ziada aniongezee ujuzi.

Asante
 
Umejaribu tumia printer hio kwa kompyuta nyingine? Inafanya kazi?
kwa zingineinafanya, na driver ni zilezile, ishu ni kwamba inagoma printer zoote, nime solve ishu zote za spooling na update zooote
 
kwa zingineinafanya, na driver ni zilezile, ishu ni kwamba inagoma printer zoote, nime solve ishu zote za spooling na update zooote
Inatumia OS ipi hio PC? Jaribu kure install OS inaweza kusaidia...
 
Back
Top Bottom