Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
Shukrani Mkuu..!!Jaribu kutumia monitor ya nje,
Kama itakubali Tatizo ni display ya laptop
Ikikataa ina maana tatizo ni jengine linalohusiana na graphics.
Ili kujua kama shida ni kioo tumia kioo cha nje,nikimaanisha monitor angalia laptop yako kama inasupport VGA au HDMI cable unga kwenye monitor husika,ikionyesha vizuri means kioo chako kibovu au mkanda wa kioo unazingua isipoonyesha change Ram au kama ni fundi pasha VGA cardNatumaini siku inaenda sawa kabisa upande wenu.
Ndugu, Wajuzi wa Mambo naombeni utatuzi wa PC yangu aina ya dell.
Ghafla imepata tatizo la kushindwa kudisplay kama ilivyo kawaida na kuanza kuonesha giza tu au sometimes inadisplay kwa umbali sana, ila vitu vingine vinaonesha vinaoperate kama kawaida.
Tusaidiane buana.
(Sharing is caring).
Ukifatilia utagundua ilo tatizo linatokea every after a certain time. Kama ni hivyo then fanya yafuatayo kwa mtiririko:Natumaini siku inaenda sawa kabisa upande wenu.