Msaada: PC yangu aina ya Dell haina sauti msaada

Msaada: PC yangu aina ya Dell haina sauti msaada

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
274
Reaction score
254
Wakuu habari za wakati huu

PC yangu baada ya kupiga window naona haina sauti msaada pc ni Dell
 
Inabidi udownload drivers

Weka hapa model kamili ya pc, fatisha hii video unakili sehemu ya sysyem model.

 
Back
Top Bottom