R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 2,351 Reaction score 2,255 Aug 26, 2023 #1 Habari wakuu Naomba kama kuna wakala wa Perfect Money au yeyote anayejua namna ya kufanya deoosit perfecct money kwa kutumia mitandao ya simu ( M-Pesa, Airtel Money n.k) anipe mwanga nataka kuweka pesa kwenye akaunti
Habari wakuu Naomba kama kuna wakala wa Perfect Money au yeyote anayejua namna ya kufanya deoosit perfecct money kwa kutumia mitandao ya simu ( M-Pesa, Airtel Money n.k) anipe mwanga nataka kuweka pesa kwenye akaunti
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 26, 2023 #2 Ngoja waje kukupa muongozo...
M Muuzaji Mkuu JF-Expert Member Joined Jun 18, 2022 Posts 893 Reaction score 2,001 Aug 26, 2023 #3 Ingia youtube
J Jitambuwe Senior Member Joined Sep 25, 2011 Posts 174 Reaction score 141 Aug 27, 2023 #4 Nipo hapa kama unahitaji Perfect Money, Advcash, Skrill. Naira Bank Transfer (Nigeria Bank Transfer) Makato ni 25%
Nipo hapa kama unahitaji Perfect Money, Advcash, Skrill. Naira Bank Transfer (Nigeria Bank Transfer) Makato ni 25%
Elon Mzebuluni JF-Expert Member Joined Jan 22, 2016 Posts 226 Reaction score 146 Apr 4, 2024 #5 Ulifanikiwa mkuu? Na mimi pia nahitaji