Msaada: Phd studies

Umeeanza vuzuri umemaliza vibaya...ni issue gani isiyogusa mustakabali wa maisha ya mtu....back to topic.. nijuacho mm anatakiwa kukumbuka PhD level si sawa na undergraduate level ambapo unaweza hama kozi kirahisi...katika level ya PhD admission huangalia availability ya supervisors...akipatikana supervisor kulingana na vigezo ulivyotumia kuomba wanakuadmit....nitarudi
 

Mkuu #zamaulid wewe si mgeni jamvini humu, kuna watu wanajuwa kuchafua hali ya hewa ,hawakawii kumwaga kejeli humu.
Back to topic: ameniambia kuwa amefanya preliminary procedures na amepata supervisors wawili ambao wamemwambia ikiwa ataruhusiwa kubadilisha basi watamsimamia.
by the way Asante kwa ushauri nadhani muhusika atasoma ushauri wako
 

Ana bahati...lkn pia kuna vitu anavyotakiwa kuvifahamu...je gharama za kozi hizo mbili ni sawa...je gharama ya supervisor wa hizo kozi tofauti ni sawa...je mwajiri wake alimruhusu akasome nini...na je mfadhiri atakubi akisoma kozi tofauti...(jamaa mmoja alipata scholarship katika field ya education...alipofika akaamua kubadili uelekeo mwajiri wake akasimamisha mshahara na mfadhiri akasitisha hela kwani gharama ingekuwa kubwa zaidi...kilichoendelea...)
 
Naomba nisieleweke kuwa nasema hiyo kitu haiwezekani...ila ajiridhishe na mambo madogo madogo hayo kabla ya kutimiza ndoto zake....
 
Naomba nisieleweke kuwa nasema hiyo kitu haiwezekani...ila ajiridhishe na mambo madogo madogo hayo kabla ya kutimiza ndoto zake....


Ushauri mzuri sana huu. Barikiwa sana mkuu, nadhani atauzingatia
 
..........
Je kuna athari gani akishift kwenye HRM hasa ukizingatia waajiri wengi wanataka mtu aliecompetent na mwenye good flow ya kozi aliyosoma.?.........

Kwa chuo kizuri hawatampa PhD in HRM hadi pale atakapo timiza vigezo. Hivyo akipata hiyo PhD atakuwa sawa na mwingine kitaaluma mwenye hiyo PhD in which case MBA in Marketing will be an added advantage. Issue hapa ni kama atafanya PhD by thesis only au kuna course work. Kama ni by thesis swali ni how good is s/he in HRM? i.e. itabidi atumie juhudi binafsi ajifikishe kwenye level inayotakiwa. Kama ni by Course work na thesis s/he should be OK kwani course work itamfikisha level inayotakiwa. Anatakiwa apate hii information mapema ili a-plan vizuri.

Pia afanye uchunguzi kuhusu urahisi wa kubadilisha program baada ya kuwa admitted kuna vyuo vinaweza ku-accomodate wakipatikana supervisors vyuo vingine huweka ngumu.

Namtakia heri na fanaka.
 

Wow...what a piece of advice!! Barikiwa mkuu, hata mimi nimeupenda ushauri wako kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…