jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Una ugonjwa huo? Au una jamaa mwenye kisukari/"ugonjwa" wa sukari?Salam wadau
Naomba kwa yeyote mwenye kufahamu ninapoweza kumpata daktari specialist wa Ugonjwa wa sukari ama physcian kwa lugha ya kitaalam anisaidie uelekeo kwa maana anapatikana clinic ipi Mwanza na je NHIF anatumia au la.
Yeah nna mama angu ni mgonjwa wa siku nyng sanaUna ugonjwa huo? Au una jamaa mwenye kisukari/"ugonjwa" wa sukari?
Au ni kwa mashauriano tu?
Kama una mgomjwa au wewe mwenyewe una tatizo hilo.rudi na jibu ,nikupatie ushauri.(ujanja wa kuondoa tatizo hilo,tiba ya kisukari- bila malipo(elimu bure)).
Pole sana. Nimekutafuta kule...Yeah nna mama angu ni mgonjwa wa siku nyng sana