Habarini za asbh ndugu zangu,hongereni kwa kuiona week nyingine tena,kama kichwa kinavyojieleza nahitaji msaada wa picha za magauni ya vitenge hasa yanayowapendeza wanawake wembamba,hata kama nikipata fundi humu anaetokea msamvu-morogoro utakua vyema sana,