Msaada: Pin ya line ya M-Pesa imekuwa blocked

Msaada: Pin ya line ya M-Pesa imekuwa blocked

Joined
Sep 24, 2014
Posts
41
Reaction score
37
Nina line mbili za M-Pesa (ya wakala na second) zote pin ziko blocked, bad enough nilinunua tu kwa mtu 3yrs ago. Kwa hiyo haziko kwa majina yangu. Naombeni msaada kwa mwenye maarifa namna ya kuzirudisha.

Namba yangu ya simu 0756015762
 
Wasiliana na aliyekuzia au Nenda kwenye voda shop yoyote karibu nayo....

Ova
 
Hapo hakuna namna labda umtafute aliyezisajili ndio anaweza kushughulikiwa
 
Kwanini ufanye biashara kishamba ivyo karne hii ya matapeli na watafuta mali kwa halali na haramu?

Majina na akaunti ya mtu mwingine huku umeweka hela zako? Unamwaminije? TCRA wanaonya kuhusu kutumia laini kwa majina yasiyo yako kwa usalama zaidi na kukwepa uwizi wa mtandao.

Huyo anaweza kuwa ana mtu huko voda amemtumia kublock au kaenda kuripoti kuwa amepoteza line zake anahitaji a-renew...na amesharenew hiyo uliyonayo ikawa kasha tu na imeblockiwa...

Pambana mkuu

Jamaa atakwambia hakumbuki password; na mkienda mahakamani itakuwa ngumu kuithibitishia mahakama kuwa hiyo ni a/c yako huku majina yako ni tofauti, na TCRA na BRELA wanakuambia uwe na nyaraka halali au halisi za kwako. Voda watamleta jamaa kama wakala wao wamtambuae!!

Au mliandikishana?!
 
Nina line mbili za M-Pesa (ya wakala na second) zote pin ziko blocked, bad enough nilinunua tu kwa mtu 3yrs ago. Kwa hiyo haziko kwa majina yangu. Naombeni msaada kwa mwenye maarifa namna ya kuzirudisha.

Namba yangu ya simu 0756015762
Mkuu hapo ni uzembe wako kwani vodacom walitoa maelekezo kuwa kama unatumia TILL ambayo sio kwa jina lako kama kuna pesa itoe mapema kwani mwezi april wataanza kuzifunga na hutakuwa na uwezo tena wa kuitoa hiyo pesa.Hapo hakuna jinsi cha kufanya mtafute tu aliyekuuzia ndio aende wakaifungue.
 
Back
Top Bottom