Kwanini ufanye biashara kishamba ivyo karne hii ya matapeli na watafuta mali kwa halali na haramu?
Majina na akaunti ya mtu mwingine huku umeweka hela zako? Unamwaminije? TCRA wanaonya kuhusu kutumia laini kwa majina yasiyo yako kwa usalama zaidi na kukwepa uwizi wa mtandao.
Huyo anaweza kuwa ana mtu huko voda amemtumia kublock au kaenda kuripoti kuwa amepoteza line zake anahitaji a-renew...na amesharenew hiyo uliyonayo ikawa kasha tu na imeblockiwa...
Pambana mkuu
Jamaa atakwambia hakumbuki password; na mkienda mahakamani itakuwa ngumu kuithibitishia mahakama kuwa hiyo ni a/c yako huku majina yako ni tofauti, na TCRA na BRELA wanakuambia uwe na nyaraka halali au halisi za kwako. Voda watamleta jamaa kama wakala wao wamtambuae!!
Au mliandikishana?!