Wataalam wa afya, naomba msaada juu ya athari za kiafya kama zipo juu ya hili.Dada zetu na mama zetu siku wapikapo wali hufunika sefuria inayopikiwa wali kwa kutumia mifuko ya plastiki na hasa mieusi, je kuna athari zozote kiafya ?, huanza mfuko wa plastiki afu mfuniko, lakin dada zetu na mama zetu vipi utaalam huo unafanyika kwa faida zipi, tujuzane wataalam wa afya na wapishi wa wali.