Msaada pleas!

Nyuki baby

Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
85
Reaction score
8
Nataka kujua neno "KIPUSA" lina maana gani kwa wale wa2 wa kukaa maskani linawahusu 100%
 
Nataka kujua neno "KIPUSA" lina maana gani kwa wale wa2 wa kukaa maskani linawahusu 100%
.
Michaely Benard mtei

Sasa mimi sijui wa Maskani unawatafuta kwa sababu gani! ... na hiyo maana unayofikiria ni ya maskani pia ni maana hiyo hiyo kwa kiswahili fasaha.

Katika Kamusi ya TUKI wamelielezea neno hilo katika maana mbili


Kipusa
1. = rhino horn.

2. = (sio rasmi) beautiful young lady.


Mimi nahisi wewe ulikuwa unataka maana ya pili huku ukifikiria ni neno la mtaani wakati hata kwenye Kamusi lipo!

.
 
Kipusa:
mwanamke mrembo,mwenye kujikwatua.
Ila hapo kwenye "wa kukaa maskani" sijapaelewa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…