Inawezekana unasumbuliwa na ugojwa wa peripheral neuritis ambao unatokana na upungufu wa Vitamin fulani fulani hasa kwenye kundi la vitamin Bs, dawa za Neurobion, neurorubin zinasaidia kuondoa tatizo hilo.
NB: Sababu zipo nyingi lakini, Ulevi, kazi nzito za kutumia mikono kubeba mizigo kunachangia kwa aslimia kubwa kusababisha tatizo hili kwa mana huathiri ngozi, misuli na mishipa ya fahamu ya sehemu husika moja kwa moja .
Hivyo kuacha ulevi na kazi nyepesi huuhisha structure zilizoathirika.
Cheers