M Mangii Member Joined May 3, 2012 Posts 52 Reaction score 3 Dec 3, 2013 #1 Habari wanajamii nina tatizo kwenye uume wangu kunakuwa na maumivu kwa mbali hasa karibia na tundu la kutolea mkojo je?inaweza kuwa tatizo gan kwa anayefahamu anisaidie plz tatizo limeaanza jana
Habari wanajamii nina tatizo kwenye uume wangu kunakuwa na maumivu kwa mbali hasa karibia na tundu la kutolea mkojo je?inaweza kuwa tatizo gan kwa anayefahamu anisaidie plz tatizo limeaanza jana
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Dec 3, 2013 #2 Nenda hospitali bwana. Hapo lazma uchunguliwe tu
Swts JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,062 Reaction score 1,294 Dec 3, 2013 #3 embu jaribu kupima magonjwa ya zinaa