Faida moja wapo unapata muda lukuki wakufanya mambo yako mengine...
Ukiwa sharp unapata consultancies za kutosha na zinalipa
Mshahara ni mdogo ukibahatika sana una 1M take home per month
Faida moja wapo unapata muda lukuki wakufanya mambo yako mengine...
Ukiwa sharp unapata consultancies za kutosha na zinalipa
Mshahara ni mdogo ukibahatika sana una 1M take home per month
Nashukuru sana Mkuu, ila hujanidokeza mshahara ni kiasi gani kwa mfano kwa Assistant Lecturer (basic / take home), vipi kuhusu house allowance hampewi? na je hamna safari zozote za hata kwenda kufundisha vyuo vingine? Kundi lipi hasa ndiyo junior staff? nashukuru Mkuu, natumai utanisaidia maswali hayo bila kunichoka.Kimsingi, marupurup kama mwalimu wa chuo kikuu hakuna, na kwa junior staff kuishi kwa kutegemea mshahara is a common business. Cha msingi, kama unataka kujiunga na universities, njoo upate muda wa kuffanya mabo yako..lakini marupurupu sahau..ukitaka marupurupu nenda wizarani..huko ndiko ziliko pesa zisizo na wenyewe, na kuzila ni kiasi cha kuandika worklan tu, hata kama unachokwenda kufanya hakina tija inayolingana na pesa uliyochukua.
Ah mwanangu mbona umempendelea! yaani akija na MSC yake ataanzia PUTS 13, wakilamba kodi almost 30% na PPF, atabakiwa na kama 800,000 tu. Kwa ufupi ndugu yangu ukiwa junior staff (TA, AL,L) andika maumivu tu!
Nadhani wengine hata hawafaham wanajibu nini. Mshahara kwa AL ni roughly 1.1 net. Hapo tayari kila kitu. Ukikaa kwa muda kwenye AL utafikisha 1.3 net. Kwa L ni 1.7 net. Kuhusu marupurupu huwa yapo, inategemea na ww tu ufanyaji wako kazi. Kuna kazi nyingi saana za ziada zinalipwa. Kwa University junior ni TA and AL.Nashukuru Mkuu! kumbe hata L ni ktk kundi la junior stsff??!!! hivi huyu si ni PhD holder au??...
Nadhani wengine hata hawafaham wanajibu nini. Mshahara kwa AL ni roughly 1.1 net. Hapo tayari kila kitu. Ukikaa kwa muda kwenye AL utafikisha 1.3 net. Kwa L ni 1.7 net. Kuhusu marupurupu huwa yapo, inategemea na ww tu ufanyaji wako kazi. Kuna kazi nyingi saana za ziada zinalipwa. Kwa University junior ni TA and AL.
"Bolded" Aisee kuna wanaume wangapi kama wewe!!Nadhani mshahara wa assitant lecturer ni more than 1.4 m. wakikata mazagazaga yao mwisho wa mwezi unamkabidhi mkeo 1m azipangie matumizi.
Nadhani mshahara wa assitant lecturer ni more than 1.4 m. wakikata mazagazaga yao mwisho wa mwezi unamkabidhi mkeo 1m azipangie matumizi.