TOTS SHALO
Senior Member
- Sep 24, 2012
- 152
- 25
Ni wiki kama ya nne hali hii inanitokea na cjajua nn tatizo kila nimalizapo ku sex baada ya kama saa moja iv mgongo unaanza kuuma haxa kwa chini karibu namakalio naombeni mxaada wenu kwan hali hii imekua ikiniboa hadi kuniondolea hamu yakutaka kusex.