Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ok hata abroad pia we nitajie tu haina tabu...madakitari mko wapiii???. Tz kuna huduma za laser kweli?. .
usiwe mvivu wa google!ok hata abroad pia we nitajie tu haina tabu...madakitari mko wapiii???
najua google mkuu ila nahitaji kuckia kutoka kwa watu ....tatizo moja la kusoma kwa websites ni kwamba things are rarely updated kwa hiyo unaweza pata fixtures ambazo c sahihiusiwe mvivu wa google!
Laser eye surgery ni nzuri,inabidi umuone daktari wa masuala ya macho akuambie kama utafaa kuwa best candidate kwa ajili ya laser surgery.Cornea sehemu ya jicho inayoonekana inapokuwa rough, inasababisha matatizo ya kuona kwa sababu ya reflections zinazotokea on rough surfaces. Laser hapa inanyoosha hii cornea surface ili mwanga upite vizuri uweze kuona. Si kila tatizo la jicho laweza kutibiwa kwa laser surgery.mengine yanakuwa corrected kwa kuvaa miwani,nchi nyingi zilizoendelea,usa, england,china ,german,india,huduma hii inapatikana.