Laser eye surgery ni nzuri,inabidi umuone daktari wa masuala ya macho akuambie kama utafaa kuwa best candidate kwa ajili ya laser surgery.Cornea sehemu ya jicho inayoonekana inapokuwa rough, inasababisha matatizo ya kuona kwa sababu ya reflections zinazotokea on rough surfaces. Laser hapa inanyoosha hii cornea surface ili mwanga upite vizuri uweze kuona. Si kila tatizo la jicho laweza kutibiwa kwa laser surgery.mengine yanakuwa corrected kwa kuvaa miwani,nchi nyingi zilizoendelea,usa, england,china ,german,india,huduma hii inapatikana.