Msaada please kuhusu tcu

Dodoma moja

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
307
Reaction score
182
Wakuu nimetembelea baadhi ya vyuo, vimeshatoa matangazo ya watu kuapply lakin wanasema ni kupitia tcu, sasa ninachotaka kujua ni kuwa tcu wamesharuhusu watu kuanza kuapply? Msaada wenu tafadhali
 
Wakuu nimetembelea baadhi ya vyuo, vimeshatoa matangazo ya watu kuapply lakin wanasema ni kupitia tcu, sasa ninachotaka kujua ni kuwa tcu wamesharuhusu watu kuanza kuapply? Msaada wenu tafadhali

TCU bado hawajaanza kupokea maombi.Taarifa ni kuwa wataanza tareh 12/5/2014
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…