Kweli Ndahani uko sahihi. Juu ya nini mkaoge hadharani watu wazima wenye familia.
Ila kwa wewe mwenye korodani ndogo, nikuhakikishie sio tatizo. Korodani zikiwa kubwa sana ni tatizo nalo sio la kumfanya mtu awe na wasi wasi. Mara nyingine husababishwa na joto la mwili wako korodani kuwa kubwa. Kwa hiyo acha niconclude kuwa, udogo wa korodani zake unasababishwa na yeye kuwa na joto dodo maeneo hayo kwa hiyo zinakimbilia juu kuadapt joyo la mwili. Hiyo haimzuii kuzaa wala kufanya huo mchezo mnaoupenda kiasi mko bize saaaana na maeneo hayo.