Ngombe ana mastitis kali. Maziwa yote manne yalikuwa yameugua yanatoa maziwa almost kama yananata kama gundi ya maji. Akatibiwa kwa Gentamycin, then akaja daktari akasema ungelianza na dawa ya chini kama penstrep na maltijet infusion tubes zenye penicillin na strptomycin. Nikafanya hivyo kwa kuwainject three doses of multijet infusion tubes instead of a single injection kama ilivyo ada.
Wakaimprove vizuri maziwa yakaanza kuwa meupe.
Tatizo la sasa
1.Chuchu moja bado inaleta shida. Nifayeje?
2. Maziwa yalianza kuwa meupe, leo jioni yamekuwa tena yellowish
Niwatibu na nini?
Wakaimprove vizuri maziwa yakaanza kuwa meupe.
Tatizo la sasa
1.Chuchu moja bado inaleta shida. Nifayeje?
2. Maziwa yalianza kuwa meupe, leo jioni yamekuwa tena yellowish
Niwatibu na nini?