Msaada please! maumivu sehemu zinapoota nywele za siri

Msaada please! maumivu sehemu zinapoota nywele za siri

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
1,684
Reaction score
2,156
Habari wanaJf katika jukwaa hili, nahitaji msaada wenu tafadhali; nasikia maumivu sehemu palipo na nywele za siri. maumivu hayo nayaskia zaidi nikiwa nimekaa nimetulia au nikiwa nimelala.

Hili ni tatizo gani kitaalamu? na husababishwa na nini pia matibabu yake yakoje?
 
Back
Top Bottom