JamanI habari za leo.
Ijapokuwa ni mgeni humu jukwaani lakini naombeni msaada katika hili.
katika kipindi cha miaze kama mitatu hivi mwili wangu unakosa nguvu kwa kiasi kikubwa sana hasa miguuni.sijui hili tatizo latokana na nini wataalamu wangu.
Nifanye nini kukabiliana na hili tatizo.
karibuni wakuu!