PAMILA
Member
- Mar 23, 2014
- 34
- 22
Nimefanya maombi ya kusajili kampuni kwa njia ya mtandao Online Registration System BRELA. Baada ya kupendekeza jina for name reservation, nilipata mrejesho kwa njia ya email kuwa jina limeshatumika, nikatuma lingine pia likawa limeshatumika.
Mara ya Tatu nilipewa mrejesho kuwa, maombi yangu yalikuwa cancelled na kama nimeshafanya malipo niwasilisane na dawati kwa wateja. Nimeshalipa tshs 50,000 kwa ajili ya name reservation.
Napiga namba za BRELA hazipokelewi.
Nahitaji msaada ili niweze kuendelea na maombi ya jina kisha nisajili kampuni.
Mwenye uelewa na hili please anisaidie way forward. Asante