itagata JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 210 Reaction score 71 Feb 18, 2014 #1 Wana JF, Naomba msaada kwa anaejua vyuo vikuu vya hapa nchini ambavyo vinatoa Degree kwa kushirikiana na vyuo vya nje ya nchi, ikiwezekana aniambie ni course gani wanazotoa. Asante.
Wana JF, Naomba msaada kwa anaejua vyuo vikuu vya hapa nchini ambavyo vinatoa Degree kwa kushirikiana na vyuo vya nje ya nchi, ikiwezekana aniambie ni course gani wanazotoa. Asante.