edinajailos
Member
- Oct 2, 2012
- 22
- 18
Rafiki yangu ana kiasi cha Tsh 24 million anahitaji gari aina ya RAV4( new model); kwa show room za DSM ni eneo gani anaweza kupata gari zuri aina iliyotajwa au kwa anayejua aina nzuri ya gari ambalo inaweza kutembea masafa marefu kwa gharama hiyo hapo juu. Nisaidieni please!!!