Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jamii naomba msaada wenu ati BORA KAZI KULIKO MKE?
hahaha mi nakupa ushaur acha wote..
Bora vyote kama vyote vikiwa bora!
bora vyote kama vyote vikiwa bora!
oa halafu uache kazi.
huyo mke pia ni kazi. tafauti ni ile kazi nyengine unalipwa mshahara lakini hii kazi ya mke haulipwi na utatakiwa ulipie wewe garama za kutunza familia. kuna kamsemo kanasema "kuumbwa mwanaume ni nusu ya kufeli maisha" hehehe wahenga wetu walikuwa walevi lakini samtaimu walikuwa na kaukweli flani hivi.
lizzy una akili ww!