Msaada please!!!!!

Msaada please!!!!!

Kaboom

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
10,828
Reaction score
15,001
Wasalaam wapendwa

Ni wapi naweza kufanya Paternity test kwa hapa Dar..??

Matured comments pls
 
Kwa Mkemia Mkuu wa Serikali asee.

Kuna mtu kaibiwa?
 
Mkuu umeuziwa mbuzi kwenye gunia? Kajaribu pale muhimbili naskia ney wa mitego alifanyiaga pale
 
Back
Top Bottom