Msaada please

Msaada please

Dio

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
1,274
Reaction score
159
Hivi wakubwa inakuwaje kuchakachua star times mbona inazingua?
Ukijaribu kuchakachua inatokea sauti tu bila picha naombeni mwenye ile link yenye zile code aniwekee hapa,au ani pm maana hawa jamaa ukiwawekea hadharani tunazidi kuwapa maujanja ya kurekebisha
 
wanasema unasearch manual katika frequency 700 au 530 ndo ambazo nimeziona humu ndani ila kwa upande wangu nimejariau inagoma hembu try na wewe.
 
Back
Top Bottom