Hivi wakubwa inakuwaje kuchakachua star times mbona inazingua?
Ukijaribu kuchakachua inatokea sauti tu bila picha naombeni mwenye ile link yenye zile code aniwekee hapa,au ani pm maana hawa jamaa ukiwawekea hadharani tunazidi kuwapa maujanja ya kurekebisha