Msaada please!!

CORE i15

New Member
Joined
Sep 14, 2018
Posts
3
Reaction score
1
Habari wanajamvi. Naamini niko sehemu sahihi ya kuweza kupatiwa msaada wa tatizo langu. Wife amejifungua kama mwaka mmoja hivi, sasa kuna nyama imeota kama kamkia katika sehemu ya haja kubwa. Mimi na yeye tumejadiliana na kukubaliana kwenda hospitali ili kufanyiwa operation ndogo. So ombi langu ni kama mtu anafahamu hospital nzuri kwa hapa Dar es Salaam naomba anidirect au kama anafahamu daktari mzuri wa wamama anayedeal na issue kama hizi naomba unisaidie muongozo please.

Natanguliza shukrani.
 
Hospitali zilizopo DSM zipo pouwa, ila inategemea mfuko wako umekaaje.
Kama una bima nakushauri nenda Kairuki au MUHIMBILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…