Msaada please!

Msaada please!

Isaack Binya

Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
33
Reaction score
2
nilibugi nikanunua moderm ya voda,ina cost sana especially kwa sis ambao hatuko kwenye system.Hivyo nilitaka kujuzwa kama inawezekana kuiflash ili niweze kuweka line ya Airtel coz wadau ndivyo walivyoniambia kua Airtel iko poa,ama mwenye kujua wap naweza pata huduma hiyo!thanks
 
Inawezekana mkuu!! subiri kidogo waje wataalam.
 
Back
Top Bottom