daytime dreamer.
chukua muda kujua kama mahusiano yako ni ya kiukweliii au kifisadi ndipo uamue.
kwa hiyo hata hilo penzi si kitu inachokitaka kutoka kwake?sihitaji kitu kutoka kwake nina maisha yangu naweza kujitegemea kwa kila kitu, nimejitosheleza na wala hana kitu cha kunifanya nimfisadi, na kama ni maswala ya kimaisha tunalingana
Swali la kizushi, Je wewe umeshawahi kuwa na mpenzi/wapenzi wengine kabla ya huyo unayetaka kufunga nae ndoa???
Yes nilishwahi kuwa na mpenzi nimekaa nae miaka minne lakini akaja kwenda mbali akoa mtu mwingine, kuhusu swala la kujuana ananiambia tabia hazijifichi hivyo alivyo ndo alivyo na siyo kwamba anaficha makucha.
[/b]
joyce,
fanya uamuzi wako kulingana na unavyomuona/unavyompenda huyo rafiki yako, suala la kuchunguza tabia huwezi kuzipata hata mkikaa miaka saba ya uchumba.
Suala kubwa na la msingi ni kwenda pale angaza kuhakiki afya zenu halafu suala la tabia mtarekebishana mbele kwa mbele.
kwa hiyo hata hilo penzi si kitu inachokitaka kutoka kwake?
Najaribu kupata picha aina ya maisha mtakayoishi baada ya ndoa hehe.
kashaija!!
Kuna ukweli katika maandishi yako kwa sababu unawezakaa na mtu mwenye tabia zake akazificha kama makucha hadi hapo utakapoishi naye ndo utamjua. So akili mu kichwa ila muda mrefu wa kutosha unawezakukusaidia kujua hata hint za huyo mwenza kama utakuwa makini.
Bado nahisi 3 months ni muda mfupi kuingia kwenye committment kubwa kama ya marriage.
Mi nashauri
kwanza kuweni best friends kisha ndipo mtakapopima kwa kiwango gani mnahitajiana. then usimpe tundi maana akishaonja umeumia
nilikuwa chuo lakini alikuwa ananiambia niache shule niondoke naye kitu ambacho nisingeweza, niende huko nikishidwa kuendelea itakuwaje? na nilikuwa naishi na single parents ambaye mpaka hapo nilipofikia alihangaika sana so sikutaka kumuangussha mama yangu..
Mi nashauri
kwanza kuweni best friends kisha ndipo mtakapopima kwa kiwango gani mnahitajiana. then usimpe tundi maana akishaonja umeumia
Siyo kwamba nina tamaa hapana na wala siyo kwamba kuna kitu natak kutoka kwake hapana nimeuliza tu nijue, na wal siyo kwamba nahitaji san kuolewa najua ndoa inapagwa na Mungu na mimi ni mkristo kama siku yangu imefika itakuwa tu
Siyo kwamba nina tamaa hapana na wala siyo kwamba kuna kitu natak kutoka kwake hapana nimeuliza tu nijue, na wal siyo kwamba nahitaji san kuolewa najua ndoa inapagwa na Mungu na mimi ni mkristo kama siku yangu imefika itakuwa tu
Unajua wanawake wengi iwa wanakuwa wanataama ya kutaka kuolewa ukimpa ofa hiyo basi hata maswala ya kuuliza huyu jamaa tapeli au vp hana basi yeye ndo kwanza ataongeza upendo mala dufu kwa jamaa kumbe jamaa lengo lake kula mzigo na kuishia.
Joyceline,
Olewa dada: kama mmeshapima na mnapendana haina haja ya kucheleweshana! Miezi 6 inatosha!
Wahenga walisema: ukivuta manati mda mrefu, basi utamkosa ndege!
Mkulungenge MsaniiJoyceline
nilikimbilia huku kusoma post yako nikidhani umemegwa na unaomba msaada usimegwe tena.
anyway kuhusu kuamua au kutoamua kuishi NDOANI ni suala la wapendwa wawili kujadili.
Hapa kila mtu atakuja na observations zake ila maamuzi yanapaswa kufikiwa na wawili tu. Ila naamini mkongwe FMES mwenye sauti za umeme atakupa uzoefu wake ktk hili.
Haya mambo mama, hayana sheria wala kanuni.watu mnapokutana na kuanzisha uhusiano inachukua muda gani mpaka muamue kufunga ndoa?
mnaweza kuwa kwenye uhusiano na mtu baada ya miezi mitatu akwambie anataka mfunge ndoa kwa hiyo muanze maandalizi?
nataka disadvantage na advantage na huwa ni kawaida vitu kama hivi au kunakuwa na tatizo
big mistake...lazima atakutema tu......lazima umpe apime kama itamfaa maishani mwake.....Siwezi kumpa.