Msaada please

SYENDEKE

Senior Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
169
Reaction score
26
Habari wana jf kuna kitu kinanisumbua katika interview nyingi kiasi kwamba naishia kujikanyaganyaga kujibu, ukiwa kwenye interview wanakuuliza "what is your weakness" unajibu vipi ili iwe correct kwa yule ambaye anakuuliza aliexpect kusikia kutoka kwako
 
never mention a wknec uliyonayo til nw. Sema wknec in work na soln ambayo umeshaijua 2dat wknec
 
Sema weakness ya kutunga ambayo haihusiani na kazi kama vile unaweza ukasema kuwa wewe ni bahili n.k. Ila vitu kama ulevi usithubutu hata kidogo. Taja tu vile ambavyo havihusiani moja kwa moja na kazi unayoomba na uonyeshe unayo mikakati ya kujirekebisha.
 
never mention a wknec uliyonayo til nw. Sema wknec in work na soln ambayo umeshaijua 2dat wknec


kipi ndio sahihi kati ya hizo sababu na je mlishawahi tumia hizo njia kwenye interview na nyie?:A S 39::A S-omg:
 
Answer: I wouldn't say I have weakness but I would say I have areas of development for example, I may not know every individualised system of work in your organisation but I am always motivated to learn new ways of improving my quality of work through induction, which I believe you provide to new recruits.
 
never mention a wknec uliyonayo til nw. Sema wknec in work na soln ambayo umeshaijua 2dat wknec

Unampotosha mwenzio bure. Kama huna uhakika ama hujui ni bora ukae kimya, si lazima uchangie.
No one is perfect/hakuna binadamu aliyekamilika!!! Unapomshauri aseme hana udhaifu ina maana kuwa yeye ni mkamilifu kwa 100%???
Kila mtu ana udhaifu wake. Mimi binafsi udhaifu wangu ni kuwa kila ninapokutana na bint basi lazima nimtazame sura na kifuani kwanza.
Nilihudhuria semina moja ya wajasiliamali pale udbs-udsm, iliyofanyika wakati udsm kinaadhimisha miaka 50 ya uhuru pamoja na kuanzishwa kwake, mmoja wa watoa mada alitufundisha kuwa ni lazima tujue udhaifu wetu. Akatueleza kuwa baadh ya ma-interviewers, akiwemo na yeye, huwapiga chini waombaji kazi wanaosema kuwa wao hawana udhaifu. Alituambia kuwa mtu akisema hana udhaifu wa aina yoyote basi mtu huyo hajitambui yeye mwenyewe.
Na pia tulipokuwa chuoni, malimu wetu wa communication skills alitufundisha hiyo kitu, weakness and strength.


 
Mimi nikiulizwa huwa nasema eg wen i was at chuo i hapend to b a clas rep for 3 years, the weaknes i observd was being very kind and friendly and fun that makes ppl TO TAKE EVERYTHNG THAT I TOLD THEM FOR GRANTED AS A RESULT FACING PROBLEMS WITH MY LECTURER AS A LEADER, BT THATS NO LONGER A PROBLEM CZ I HAVE OVAKAM DAT SI2ATION AND AM VER SERIOUS WHEN T KEMS TO CRUCIAL THNGS, NO FUN BUSNES.
 
Kila mtu ana weakness zake tena sio moja ni nyingi tu, na huwezi kwepa kulijibu ila ni wewe tu kujua ni weakness ipi uitaje kwa wakati huo ambayo inaweza kuwa turned into positive.Mtu unaposema usitaje unakosea kwani wao pia wanajua hilo ni swali la mtego kuona ni jinsi gani uko realistic.Kuna mchangiaji mmoja amesema vema tu suala la kuona kama unajielewa ama la.Kwa hiyo ni vigumu kusema jibu lake ni fulani ila try to be realistic kwani kila mtu yuko na weakness
 

nadhan utakuwa hujaelewa comment yangu vizuri.
 
Nilihulizwa hilo swali in my first interview straight from college and nilisifiwa nimejibu vizur kuliko wote pale na I get the job.

Nakumbuka nilijibu " I think my weakness is based on my oral communication skills in english language as up to know I ddnt like the way I speak and I try to my best to work on it through reading books and watching movies, documentaries and try to speak with foreigners so that to get familiar with new words and master it, jamaa walicheka but wakanipa job,,,
 

Thats water under the bridge coz nt only ur ORAL but also >WRITING e.g know/now
>Tenses e.g didnt/dont
N:B now that u got the job, then got to work on ur promises to learn more..
 

It seems mkuu umebweteka baada ya kupata hiyo kazi. Kwa sababu naona bado bado...
Nisamehe kama nimekukwaza
 

khee we mhaya? 2jakuuliza yote hayo, by da way hongera.
 
khee we mhaya? 2jakuuliza yote hayo, by da way hongera.

Wakola waitu, nop, namu inspire dogo ajue everything is possible na kizungu sio ishu as mwajiri anataka ufikie malengo. Yaan anataka A ifanyiwe kazi iwe B kwa kufata Standard operating procedures and ethics. Haijalishi utafanya vipi ila malengo yafikiwe... So just kumchangamsha dogo asiogope ujobless ni wa mpito tu, so kama umemaindi sory, as sikujua kama nakujib wewe
 

thank u for ur critical discourse analysis.
 
Unaweza kuielezea weakness ikawa strength mfano unaweza kusema udhaifu wangu ni kutopenda kuona nashundwa kufikia malengo yangu ya kazi niliojiwekea kwa siku,na maneno mengine ambayo yanakuwa ni strength lakini unaifanya kama weakness,nenda kwenye google utafute common interview questions utapata hayo unayotaka.
 
Kaka mbona unazidi kutumia misamiati migumu. Mwenzangu we HKL nini? mimi pcm so mambo ya misamiati ya kitasha utata.

hivi ni lazima uitaje jinsia ya mtu kama hauna uhakika? Mimi sio kaka aisee..au kila mwana jf ni mkaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…