Msaada please...!!

Msaada please...!!

majany

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2008
Posts
1,223
Reaction score
585
Habari wadau...
Nina tatizo ambalo naomba wa jamii mnisaidie...
Tarehe 2 january 2012 nilimuuzia mtu gari yangu kwa thamani ya mil.5 na laki 3,kwa makubaliano kwamba atanilipa 3M cash,na zitakazobaki,anilipe nusu yake mwezi wa pili na inayobaki mwezi wa 3...

Kilichotokea..
Mwezi wa pili alinilipa sh.600,000 na ameshindwa kumalizia pesa iliyobaki yaan 1,700,000..

Nimefanya efforts nyingi bila mafanikio..ameshaandika commitment letter zaidi ya mbili na hakamilishi..

Ninahitaji kusonga mbele kwa sababu gari anaendelea kulitumia, na anendelea kurelax....

Je ninaweza kulipeleka swala langu mahakamani na mdaidwa akapewa zuio la kutumia gari mpaka shauri la msingi litakapoisha???Zipi ni taratibu za kufungua shauri hilo???Mwisho,what are the possible remedies(outcomes) zinazoweza kutolewa na mahakama???

Nb.
Kesi lama hizi huweza kuisha ndani ya muda gani??
Naombeni ufafanuzi...

Thanks...
 
binafsi naona kuna breach of contract as long as ushahidi unao (yaweza kuwa mliandikishiana) unaweza kumfungulia kesi in primary court
 
Back
Top Bottom