Msaada please!

MAMENGAZI

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
779
Reaction score
129
Wana jamvi, nina kijana anataka kufanya Postgraduate Diploma ya IT, chuo gani wanatoa course hiyo?
 
Ingawa kuuliza si ujinga, ulipaswa kufanya utatifi binafsi kabla ya kutaka wana JF wakutafunie wewe utafune. Hivyo ningeshauri ufanye utafiti wako utakupa jibu zuri.

ningekua kwenye mazingira ya kuweza kufanya utafiti mwenyewe ningeshafanya, sorry kama nimekukwaza
 
Asanteni wana jamvi mliojibu, nitamtuma kijana wangu akaulizie kwenye vyuo hivyo, thank you very much!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…