Ozee Member Joined May 11, 2011 Posts 31 Reaction score 1 Dec 22, 2012 #1 hivi kuna tofauti kati ya maharage na maharagwe au ni maneno mawili yenye maana moja?? na lipi ni neno sahihi??
hivi kuna tofauti kati ya maharage na maharagwe au ni maneno mawili yenye maana moja?? na lipi ni neno sahihi??
Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,771 Dec 23, 2012 #2 Maharage huliwa kwa wali, maharagwe kwa maandazi.
G GUSEPE Member Joined Nov 28, 2012 Posts 89 Reaction score 28 Dec 23, 2012 #3 ozee said: hivi kuna tofauti kati ya maharage na maharagwe au ni maneno mawili yenye maana moja?? Na lipi ni neno sahihi?? Click to expand... yote ni sahihi!
ozee said: hivi kuna tofauti kati ya maharage na maharagwe au ni maneno mawili yenye maana moja?? Na lipi ni neno sahihi?? Click to expand... yote ni sahihi!