Msaada please

aljun raj

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
203
Reaction score
46
Dctr mi huwa nikilala naota nangoneka na msichana nisiemjua than nikistuka najikuta nimechafuka kweli tatzi ili huwa linanitokea mwezi baada ya mwezi si jui kwann!
 
Mmh,ndugu fanya maombi kwa imani yako..hizo si ndoto nzuri.
 
Pole labda nayo ni kama MP.

wahi kutafuta suluhu mkuu, hiyo ndoto sio nzuri kabisa, ni jini mahaba bila shaka, maombi ndio njia pekee ya kukuondoa katika tatzo hilo
 
Pole sana jitahidi kufanya maombi hasa kabla hujalala na kukemea hiyo hali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…