(1) emenjensi livu = likizo ya dharuraNdugu natumain hamjambo kabisa na mmejiandaa vema na siku kuu ya ester.
Kutokana na sabau zisizo zuilika na zisizoelezeka katika ulimwengu wa kuajilia nahitaji kuchukua(1)imejensi livu ili niende mjini, siku kama siku tano hivi.
Nikisema ukweli sitaruhusiwa, hivyo basi naombeni msaada wenu enyi mabingwa wa kuomba imejensi livu.
Ndo kwanzanina siku 6 toka nirudi kutoka likizo, ila kwa sababu binafsi zisizo elezeka wala kuzuilika nahitaji kurudi mjini 4 5 days.....
Watalaam helpu mi
(1) emenjensi livu = likizo ya dharura
Ndugu, kuomba na kupewa likizo ya dharura inategemea sana yafuatayo: 1. aina ya kazi unayofanya 2 umedumu kwenye
hilo shirika kwa muda gani tangu uajiriwe, 3.uhusiano wako na wakuu wako wa kazi (bosses).Bila kuyafahamu hayo, ushauri ni mgumu.