Habari zetu wadau. habari za siku nyingi, Nimeleta kwenu
maada inayonitesa na kunihangaisha kwa muda mrefu sasa. Nimekuwa nikiugua typhody + malaria kila mara pasipo kupona kabisa na ninafuata kanuni zote za matumizi ya dawa za typhody na nipo makini sana na matunda pamoja na maji yasiyo chemshwa.